Our Services
Helping you solve challenges through professional digital tools
Certificates & TIN
Birth and Death certificates application, verification, and TIN registration with high efficiency through RITA and TRA systems.
Learn More →Software Development
Creating custom websites and mobile applications using Flutter and Dart for business and personal growth.
View Projects →College Applications
Assisting with TCU/NACTE applications and providing academic advice for O-Level and A-Level graduates.
Learn More →Maswali ya Mara kwa Mara (FAQ)
Inategemea na kasi ya mfumo wa RITA, lakini kawaida ni ndani ya siku 5 mpaka 14 za kazi kwa usajili wa kawaida. Kwa huduma ya haraka, tunaweza kukusaidia kufuatilia mchakato.
Kwa sasa mfumo wa e-RITA hauna chaguo la kupakua cheti moja kwa moja mtandaoni. Tunakusaidia kupata cheti kwa njia rasmi na kukifanyia usajili kwa urahisi.
Hapana! Sisi ni wasaidizi wa kujitolea tunaosaidia kufanya maombi kwa njia ya mtandao ili kuokoa muda na gharama za usafiri kwenda ofisi za RITA. Tunakusaidia kufuatilia hadi cheti kiko tayari.
Gharama inategemea na huduma unayohitaji. Tunatoa bei nafuu na ya urafiki. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu gharama kamili.