Think and Grow
Innovating Digital Solutions at your doorstep
Karibu kwenye kituo chako rafiki na pendwa, tupo kukusaidia kupata nyaraka mbalimbali za kitaifa (Vyeti vya kuzaliwa, n.k..)
Explore Services📰 LATEST NEWS
Get informed with our daily tech insights and community updates.
New updates available!✨ What We Do?
Think and Grow is your ultimate partner in digital transformation.
Software Dev
Custom web & mobile apps
E-Services
RITA, TIN & NIDA help
Consultancy
Digital growth advice
💬 GET HELP
Step-by-step guides for government portal applications. Pata msaada wa haraka.
Learn More →NAPA - Pata barua ya utambulisho
Suala la maombi ya mkopo wa elimu ya juu limekuwa kidigitali zaidi, hivyo barua za utambulisho zote tunazipata kupitia mfumo maalumu wa NAPA. Hivyo basi hakikisha unapata barua yako ya utambulisho ili swala la maombi ya mkopo kwako iwe rahisi sana.
Zingatia!
Ili uweze kupata barua kwa mfumo wa NAPA, hakikisha nyumba yenu imesajiliwa katika anuani za makazi. Kama bado, basi wasiliana na Mtendaji wako wa kijiji au kata ili aweze kukusaidia hilo!