Downloadable Documents

📄 Maelezo ya Cheti cha Kuzaliwa

Birth Certificate Guidelines
Download PDF

📄 Maelezo ya Cheti cha Kifo

Death Certificate Guidelines
Download PDF

📄 Mwongozo wa Usajili wa TIN

TIN Registration Guide - Coming Soon
Coming Soon

Important Information

📌 Muhimu Kuzingatia!

Ni muhimu kufanya mabadilisho ya cheti chako cha zamani kuwa cheti kipya. Vyeti vya zamani ni pamoja na vile vyote vya HANDWRITING style, pamoja na vile vya rangi ya kijani.

🎓 Kwa Wanafunzi

Kama wewe ni mwanafunzi ni muhimu zaidi kubadilisha cheti chako, pia kama sio mwanafunzi ni bora kukibadilisha pia ili kuendana na fursa zilizopo.

Ushauri: Mambo yote haya yanafanyika kupitia mtandao. Wasiliana nasi tukusaidie kwa weledi wa hali ya juu. KARIBU TUSHIRIKIANE!